NYUMBA INAUZWA, MANISPAA YA TEMEKE\nIpo #uwanja wa taifa opposite na manispaa ya temeke\nNyumba ina one master bedroom, three bedrooms, sitting room and dinning room.\nPia kuna nyumba nyingine ya vyumba viwili nyuma ya Nyumba kubwa\n#Ukubwa wa eneo ni mita za mraba 300(300sqm)\nAltenative use: inafaa kwa kuifanya kuwa Hostel kwa ajiri ya wanafunzi wa DUCE, Apartment au kujenga Ghorofa.\nIncome generated each month from rented room(Not All) is Tshs 650,000.\n#Asking price Tshs 380M(Negotiable)\n#Nunua na uanze kupata kipato cha uwekezaji wako\nCall us Now\n0755654676
Emmanuel Maembe
+255755654676
Bedrooms:
3
Bathrooms:
2