NYUMBA NZURI YA GHOROFA INAUZWA SALASALA MTAA WA PILI KUTOKA KWENYE LAMI.\nNyumba ina vyumba 6 vyote ni self, sttingroom,Dainingroom, Kitchen&Public Toilet\nNk\nNa pia kuna nyumba ndogo za wafanya kazi, wageni nk na zote zina vyumba 3 na jiko na vyoo nk\nSize plot 4000 SQM\nHati ipo\nBei 550,000 $\nMaongezi zaidi yapo
Humphrey Brayan
+255686913424
Size:
4000m²
Bedrooms:
6
Bathrooms:
6