NYUMBA INAUZWA\nMBEZI BEACH\nBEI NI MIL 650 tshs\nINA HATI MILIKI\nYenye:-\nVyumba Vitatu vya kulala, kimojawapo self-contained\nSebule, dinning, jiko Na public Toilet Ya ndani\nNI NYUMBA YA PILI KUTOKA BAHARINI (LUKUVI STREET)\nINA UKUBWA WA SQMT 1600\nUWANJA NI MKUBWA WA KUTOSHA KUJENGA NYUMBA NYINGINE KUBWA YA KUISHI AU APARTMENTS\nContact\n0628421511\nor\n#0785008204/call WhatsApp
Janeth Milanzi
0628421511