Wanyumba.tz

Schools
x
Schools
Professionals
x
Professionals
2 Listings
Visiga
Sifa ya nyumba\nInavyumba v3 vya kulala kimoja masters,seble kubwa, jiko , dinning na choo cha public, gypsum na floo ya kawaida na pia inamadilisha ya wavu\nNyumba ni mpya\nUmbali kutoka rami mita 200 na ukubwa wa kiwanja SQM 800 BEI ML 47 Maongezi AllY MWEGANGO
Size: 800 Bedrooms: 3
Visiga
MKOA WA PWANI KIBAHA KWA MATHIAS\nENEO LENYE UKUBWA WA HEKA MBILI LIMEZUNGUSHIWA FENSI LOTE LINAUZWA\nENEO NI RANCH BINAFSI\nENEO NDANI KUNA NYUMBA YA WAFANYAKAZI\nKUNA UMEME WA THREE FACE\nENEO LIMEPIMWA BADO HATI\nBEI MIL 50 MAONGEZI YAPO\nUMBALI KUTOKA MORO ROAD KM 7\nNI MBELE YA CHUO KIKUU HULIA\nMTAA UMEJENGEKA SANA SANA\nKARIBU SANA MTEJA Amina Selemani
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now
Map Results