Shamba linauzwa lipo Msowelo Kilosa, Lina Hati miliki.\n-Dumila hadi Msowelo km 22 kutoka barabara ya lami hadi shambani km 5. Ukubwa heka 1450, Lina umeme na mto isiyokauka maji,\nKwasasa mpunga ni eka 50…katani eka 300…alizeti na mahindi ekari 800…eka 300 hazijalimwa kitu
Bashir Said
+255713982200