Kiluvya Sokoni\nNyumba ya kisasa inauzwa Kiluvya Sokoni kwa Komba ina vyumba vitatu kimoja master kutoka main road mpaka kwenye nyumba ni 800m ukubwa wa kiwanja 525sqmt nyumba haina hati mauziano ni serikali ya mtaa.
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349
PAGALA LIMESHUKA BEI KWA 15M TU.\nLINA VYUMBA VITATU,VIWILI MASTER, SEBULE,DINNING,JIKO,STORE NA PUBLIC TOILET.\nUKUBWA WA UWANJA SQUARE METRE 400.\nLIPO KILUVYA .\nUMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI METRE 200 TU.
Amri Yange
255719540643