Goba Tatedo\nNYUMBA INAUZWA IPO GOBA TATEDO NJIA RSHISI YA KUFIKA UNAPITIA AFRIKANA\n📍4Bedrooms(1MasterBedroom)\n📍Sittingroom & Dinning\n📍Kitchen store pubilic toilet\nENEO LINA UKUBWA WA MITA 50 KWA 45\n
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349
Goba Kwa Awadhi\nNyumba inauzwa Goba kwa Awadhi ina vyumba vitatu kimoja ni master sebule jiko store ina eneo lenye ukubwa wa 300sqmt ipo kwenye mazingira yaliyojengeka kisasa na ya utulivu wa hali ya juu mauziano ni serikali ya mtaa nyumba haina hati.
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349
Goba Kulangwa\nBoma linauzwa Goba Kulangwa eneo tulivu lilojengeka kisasa karibu na White Rose English Medium kiwanja kina ukubwa wa 685sqmt.
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349
Goba Senta\nJumba la kifahari linauzwa Goba Senta mita chache kutoka main road ukubwa wa eneo ni 800sqmt ina hati miliki nyumba ina vyumba vinne vyote master kila chumba kina AC, heater ya maji CCTV camera maji ya uhakika
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349
Goba Kinzudi\nNyumba ya vyumba vitatu kimoja master sebule jiko store parking ya kutosha inauzwa Goba Kinzudi ina eneo la ukubwa wa 750sqmt na hati miliki umeme na maji ya dawasco yapo.
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349
Goba Msumi\nNyumba mpya ya kisasa inauzwa Goba Msumi ina vyumba vitatu kimoja masta,sebule,kitchen,dining na store kuna kisima cha maji kiwanja kina ukubwa wa 1500sqmt.
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349