Wanyumba.tz

Schools
x
Schools
Professionals
x
Professionals
11 Listings
Temeke
NYUMBA INAUZWA IPO MTONI MTONGANI\nNYUMBA IPO SEHEMU NZURI FULL TILES,MAJI, UMEME, HAIPO MBALI NA BARABARA KUU\nINA HATI YAKE YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA\nINA SEATINGROOM\nDINING ROOM\nVYUMBA 3 NA  1 MASTERBED ROOM\nKITCHEN\nPUBLIC TOILET\n  Amri Yange 255719540643
Bedrooms: 3 Bathrooms: 2
Temeke
MTONI KIJICHI MANISPAA YA TEMEKE DAR ES SALAAM”\nNyumba ipo kwenye Kona na inatazama lami pande zote mbili, ina vyumba vitatu kimoja master, ukubwa wa kiwanja sqm600. Ina Hati.\nInauzwa kwa tsh mil 130 na maongezi yapo. Huduma za kijamii zote zipo karibu sana Felix Mwinami +255718892870
Size: 600 Bedrooms: 3 Bathrooms: 2
Temeke
\nNyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom stoo kicheni master toilet public nyumba mpya nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 400 nyumba ipo vinzuri nyumba hati yake ya mauziano ya selikali ya mtaa bei ml 45 nyumba umeme upo maji yapo bei ml 45\n Francisco Mwangulube +255787301075
Size: 400 Bedrooms: 3 Bathrooms: 2
Temeke
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3 stingingroom dainingiroom kicheni stoo master toilet public nyumba umeme upo maji yapo nyumba Ina kisima cha maj bei ml 87 nyumba Hati yake ya mauziano ya serekali ya mtaa nyumba mpya Francisco Mwangulube +255787301075
Size: 400 Bedrooms: 3 Bathrooms: 2
Temeke
PLOT FOR SALE , KIGAMBONI , PRICE  3,500,000,000 MJOMBA REAL ESTATE 0764599998
Temeke
Nyumba inauzwa tandika  ..nyumba inavyumba vitatu vyumba viwil n master jiko kubwa  na mabanda ya uwani kisima kipo  . Assad Realestate
Bedrooms: 3 Bathrooms: 2
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now
Map Results