Nyumba inauzwa.\nHouse for sale\nPrice tsh milioni 45 fixd price\nCountry Tanzania\nDar es salaam\nLocation: pugu\nwilaya ya ilala.\nLand size: 30×20 ( Urefu x upana)\nIna vyumba 3 vya kulala na kimoja ni selfconteine\nTypes of Documents:\nMauziano kutoka serikali ya mtaa\nContact\ncall 0712531657\n#0789731695
Lucy Gelas
255789731695
Nyumba inauzwa maongezi kidogo yapo. Nyumba ipo pugu stesheni Dar es salaam. Vyumba 3 sitting room jiko dining room na public toilet. Nyumba ipo ndani ya fensi nyumba Ina maji safi na umeme nyumba pia Ina Air condition. Kiwanja sqm. 700 hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa.
Dalali Yange
Sale at Pugu Road\nWe are happy to introduce to the market this wonderful yard for sale at Pugu road area size measured is 1 acre it come up with 3 warehouse, offices and all other important facilities.\nContact us and Schedule a visit!
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349
Shule inauzwa na mmiliki. Ipo Majohe nyuma ya Kampala University.\nShule ina Madarasa 6,\nOfisi 2,\nVyoo vya kiume 8\nVyoo vya kike 8\nIna eneo kubwa 19800 sqm waweza kujenga zaidi kama mabweni, madarasa zaidi au kufanya uwekezaji mwingine mkubwa zaidi. Eneo ni potential sana.\nBei: Tshs mil 900 negotiable.\n
Amri Yange
255719540643
Nyumba inauzwa pugu kigogo fresh, baada ya kuvuka reli njia ya kwenda majohe, Ina ukubwa wa vyumba vinne 4 vya kulala na unaweza ongeza room Mbili za nje. Ipo karibu kabisa na Barabara ya Lami umbali wa 100Meter kutoka Lami.
Allen Mushi
0679899518