Nyumba inavyumba vitatu (3) master bedroom, sitting room,public toilet, jiko store na parking. Juu inavyumba vitatu vyote ni master bedroom.Chini ina sitting room, dinning room, public toilet, jiko, store na parking.\nUkubwa wa kiwanja ni sqm 1400.
Thod Mawax
+255673878490
NYUMBA IKO KIGAMBONI KIBADA MWELA-DAR ES SALAAM\n\nINA VYUMBA VITATU VYA KULALA ( VIWILI MASTER)\nSEBULE\nJIKO\nPUBLIC TOILET\nMAJI SAFI YA DAWASCO NA UMEME\nDK 10 KUTOKA BARA BARA YA LAMI\n
PPI Realestate
0222 701 758
Inavyumba vinne, kimoja ni master, dinning, sitting, kitchen, public toilet. Ina hati miliki. Iko umbali wa 300m kutoka barabara kuu ya lami, karibu na shule ya msingi kibada. Nyumba ipo mtaa mzuri.
DICKSON CLEMENCE
+255683511683