Mtongani\nNyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja master, sebule, jiko,store na parking nyumba ni nzuri haipo mbali na bara bara kubwa ni dakika 5 kutoka main road ukubwa wa kiwanja ni 350sqmt nyumba haina hati mauziano serikali ya mtaa.
BE FORWARD Real Estate Tanzania
+255 654 956 349