Kiwanja kizuri kinauzwa Goba Nashpark au Kings School ni 1km kutoka Njia nne kipo sehemu nzuri sana mtaa wa ushuani kina ukubwa wa 1500sqmt hakina hati document ni za serikali ya mtaa.
Please Add a first listing