Eneo Linauzwa Bagamoyo Mapinga Center
Lina Mabanda ya Kisasa
Nyumba ya Kuishi
Maji ya Dawasa
Kisima cha Kisasa
Solar System
Umeme Wa Tanesco
Eneo lote Lina Fence
Ukubwa Eka 2.8
Eneo lina hati
Umbali toka lami 1.5km
Price: 270ml Maongezi yapo