Nyumba 2 in 1 zinauzwa Mwananyamala B
Distance Kutoka lami ya Mwananyamala Sokoni ni mita 200
Nyumba ya Gorofa Chini Chini Ina sebule, dinning, jiko, chumba kimoja na Public toilet.
Nyumba ya Ghorofa Juu Chumba kimoja master, Chumba kimoja na sitting room ndogo.
Nyumba ya chini ya peke yake Ina vyumba 3 ambacho kimoja master bedroom, jiko, sitting room, dinning room na Public toilet.
-Plot size Sqm 668
-Ina hati (title deed)
Bei shilingi milioni 670