#VYUMBA_VITATU
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
______________
KODI MIL 1,300,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Vitatu vikubwa vya kulala #VIWILI_MASTA #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse
____________
PAMOJA