Eneo Zuri linauzwa Madale Mivumoni nyuma ya Atlas umbali ni 1km kutoka main road ukubwa ni 4000sqmt mitaa mizuri sana imejengeka kisasa eneo lina msingi wa nyumba na shimo la choo limezungushwa fensi pamoja na frem sita za biashara eneo lina mageti matatu umiliki ni document za serikali ya mtaa halina hati.