Eneo lenye nyumba 5 za biashara linauzwa Kibaha kwa Mfipa karibu na chuo cha Uongozi cha Mwl Nyerere
-Nyumba zipo 5 zenye vyumba 2 vya kulala, jiko, sebule na choo, nyumba zimefanyiwa wiring na ziko kwenye finishing.
-Lami mpaka kwenye nyumba, maji na umeme vyote vipo.
-Plot size ni Hekari 1.5
-Clean title deed.
-Bei 350 milioni maongezi yapo