Nyumba ipo mbezi mwisho luguruni , ina vyumba saba, nje kuna mabanda ya kufuga kuku wa nyama 800. uwanja una sqm 1481. maji ya dawasa yanatoka 24 hrs. nyumba ipo karibu na morogoro road.Nyumba ina hati miliki kutoka wizara ya ardhi.
Please Add a first listing