Nyumba ya gorofa yenye bedrooms 8 zote ni master bedroom, ina sitting room 2 chini na juu, ipo location nzuri, majilani wazuri. Eneo kiwanja ukubwa ni ekali 2, ina Hati miliki. Eneo iliyopo nyumba ni Mbezi makabe shule.
Please Add a first listing