#Wekeza Mapinga #Bagamoyo #Bagamoyo
Eneo la Ekari 3 linauzwa, lipo Kiharaka mapinga njia ya kutokea Kiembeni wilaya ya Bagamoyo.
Plot ipo umbali wa 1.5km kufika Bahari(Indian Ocean)
Eneo limefikiwa na huduma ya maji pamoja na umeme, pia lipo karibu sana na bahari.
Bei ni Tshs 240M(Negotiable),
pia unaeeza kununua ekari moja kwa Tshs 80M
call/Whatsapp for more details