BANDA LINAUZWA BANDA LIPO KIMARA TEMBONI
BANDA LINA VYUMBA V3 NA SEBULE
ENEO NI SQM ๐ 400
BEI NI MIL ๐ 20
MAONGEZI YAPO UMEME MAJI VYOTE VIPO SAFI
KM ๐ 3
KUTOKA BARABARA KUU YA MORO ROAD
NI TEMBONI MTAA WA ARSENAL
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UPO NDANI
KARIBUNI