*Shamba la Heka 12 Kilwa ufukweni linauzwa Bei nzuri kabisa*
-Shamba lipo Wilaya ya Kilwa Tarafa ya Pande, Kata ya Limaliao.
-Shambani mbele yake bahari kuna fungu wanasema au kijisiwa kidogo tazama picha zake hapa chini.
-Plot size Hekari 12
-Hati bado halina
-Bei 180 milioni