BONGE LA JUMBA LINAUZWA MBEZI MSAKUZI
JUMBA NI LA VYUMBA V4 SEBULE DAINING JIKO PUBLIC CHUMBA MASTER
ENEO SQM 800
BEI MSELELEKO MIL 85
NYUMBA NI MPYAA NI YA KUINGIA TU
HAPO BADO GETI LA FENSI TU
NYUMBA IPO MBEZI MAKABE MSAKUZI
KM 5 KUTOKA STENDI KUU YA MABUS YAENDAYO MIKAONI MAGHUFULI TEMINAL
KM 1 KUTOKA BARABARA KUU YA MAKABE
KARIBU SANA MTEJA NJOO UKAGUE UTOE OFFA
BOSS KALEWA NJAA
KARIBU SANA