Chumba kimoja na choo chake kinauzwa
Mahali ni mkoa wa pwani mlandizi center
Chumba kizuli na kumejengwa kwa madhubuti
Km 1 toka moro road umbali mpaka hapo
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 👉 350 Bei ni mil 👉 4 tu Umeme maji vipo
Karibu mteja
Please Add a first listing