Mashamba yapo kijiji cha Bihawana. Kuna jumla ya ekari 38, ni sehemu wanakokaa mapadre na linafaa kwa kilimo ya zabibu
Yapo umbali wa 12km kutoka Iringa-Dodoma road na 40km kutoka Dodoma mjini
Bei ni Tsh 1,500,000 (1.5milion) kwa ekari moja
Karibuni sana