ENEO LINAUZWA ENEO LIPO MKOA WA PWANI MLANDIZI MADAFU MIWALENI
ENEO LINA UKUBWA WA HEKA ๐ 10
BEI BIL ๐ 1
ENEO LINAFAA KWA KIWANDA YARD PARKING YA MAROLI MABUS GODOWN NA MENGINEYO
ENEO HALIFAI KWA SHELI
ENEO LINAANGALIA BARABARA KUBWA YA LAMI MORO ROAD
ENEO LINA NYUMBA ZA WAFANYAKAZI NA MAJENGO MTATU MAKUBWA YA KUFUNGA MACHINE ZA VIWANDA
ENEO NI ZULI SANA
TITTLE DEED IPO KARIBU SANA