Mkoa wa Pwani Wilaya ya Bagamoyo Kijiji Cha Pingo Chalinze km 7 kutoka moro road shamba lenye ukubwa wa heka 100 linauzwa kila heka moja mil 1 tu shamba Lina hati ya kimila ukiwa hapo shamba utakuwa upo jilani na kiwanda Cha kutengeneza tiles kiwanda Cha wa china huduma za kijamii zinapatikana Kama vile maji na umeme kupelekwa shamba elfu 20 tu
Karibu