Mkoa wa pwani kibaha mlandizi ni pale viwandani barabara ya kuelekea mzenga km 4 toka mlandizii center zipo heka 5 kila heka moja bei mil 10 maongezi yapo maji umeme vipo ni pazuli kujenga mladi wowote shule kiwanda yard barabara kubwa zipitazo mpaka semi
Pia lipo eneo pale stesheni ya leli ya mwendo Kasi Lina ukubwa wa miter 40 x 190 linaangalia barabara kuu itokayo mlandizi kuelekea mzenga eneo lipo hapo kalibu na leli Bei mil 8 km 7 toka mlandizi mpaka hapo
Karibuni