ENEO KUBWA SANA LINA NYUMBA/PAGALA YA GHOROFA INAUZWA NA BANK
LOC; PUNA KIGAMBONI DAR
AREA : ~ EKA 7.8
PRICE : MIL 67 CHAP
UMILIKI : SALES AGREEMENT ZA SERIKALI YA MTAA..
HII SIO YA KUIKOSA,,,,,………!!!!!! KARIBU UKAGUE UTUPE OFFA YAKO…. .
.
.
SIFA:-
.
-4BEDROOMS 2 SELF
-2KITCHEN
-DINNING
-2SITTING ROOM
-PUBLIC TOILET
PIA KUNA FREMU 6 ZA MADUKA UNFINISHED
HUDUMA ZOTE ZIPO… GHARAMA YA KUONESHWA SITE NI SH ELF 30…KARIBU TUKUHUDUMIE
________________