Eneo linauzwa eneo lipo kibamba eneo Lina ukubwa wa sqmt 12000 eneo linaangalia barabara kuu ya moro road kutoka jiwe la barabara ndio hili linaanzia hapo eneo Lina hati miliki bei kwa heka zote tatu mil 800 mazungumzo yapo, Pana faa kwa Sheli, hotel apratment,bar,gest au yard ya maloli au mabus karibuni