Eneo la Biashara linauzwa Barabara Morogoro Road
Distance Mita 100 kutoka lami ya Morogoro road.
-Eneo lina Fremu 7 za biashara makusanyo kwa mwezi (900,000)
-Eneo lina vyumba 15 vya kulala vyote master bedrooms.
-Kumbi mbili zinaingiza watu 150 (Juu) chini (250)
-Vyumba vya ofisi 4 kodi makusanyo kwa mwezi (700,00)
-Kuna jiko la chakula.
-Kuna vyoo 10 kwa matumizi ya wateja.
-Eneo limerasimishwa
-Plot size Sqm 1090
Bei shilingi 1.5 Bilioni mazungumzo yapo