ENEO LA BIASHARA LINAUZWA
MAHALI: KWA MAKUNGANYA MANISPAA YA MOROGORO
UKUBWA: 28,000 Sqm ~ Ekari 7 au Hekta 2.9
– Umbali kutoka Mjini mpaka eneo lilipo ni Kilomita 12
– Umbali kutoka Mkundi mpaka eneo lilipo, kuna Vituo vingi tu vya kutoka Mafuta
-Kwa makunganya pale kuna mradi wa barabara ya mabasi ya mwendo kasi
-Kuna kituo cha mafuta kimoja cha Engine
– Umbali kutoka Kituo cha Mafuta Engine mpaka eneo lilipo ni Kilomita 2.5
– Eneo linatazamana na Barabara Kuu ya Morogoro/Dodoma na ni Tambarare kabisa
– Eneo limepimwa na lina Offer
– Eneo linafaa kwa Uwekezaji wa Kituo cha Mafuta, Hoteli, Kiwanda, Ghala, Yadi n.k.
BEI: MIL650, MAONGEZI YAPO