Eneo la Ekari 5 la uwekezaji kwenye utalii linauzwa Serengeti
Location Eneo lipo 5KM nje ya geti la Ikoma Serengeti.
-Eneo ni mapitio ya Wanyama wa aina mbalimbali.
-Eneo lilikuwa na camp ambayo ilidumu kwenye biashara kwa miaka 18 mpaka Corona ilipoingia na kufungwa.
-Eneo lina nafasi ya kutosha kwa ajili ya tents za kulala wageni.
-Camp ilikuwa na wafanyakazi 25, Restaurant, sehemu ya kulala wafanyakazi na madereva.
Umeme wa Tanesco, Solar system etc.
(Picha zinazoonekana ni kipindi kabla ya camp kufungwa sababu ya Corona)
Bei ni $ 800,000 maongezi yapo