School site inauzwa ipo Kigamboni Gezaulole. Plot size: 15 Acres ina title deed. Iko kwenye location nzuri na panafikika kirahisi. Kona zote imezungukwa na barabara. Umbali kutoka barabara kubwa mita 400 na umbali kutoka Beach mita 800.
– Bei TZS 900 million maongezi yapo kidogo.