Ukubwa wa Eneo ni Sqm 1,200.
Eneo lipo mahali pazuri na ni mtaa wa kishua, yaani siyo uswahilini. Pia liko jirani na shule ya FORTUNE PRE & PRIMARY SCHOOL
Eneo lina Sales Agrement. Bei ni 90milioni, mazungumzo yapo
Please Add a first listing