Linafaa kwa ajili ya uwekezaji wa Apartments, shule au kanisa au kwa makazi
Eneo linatazima barabara ya mtaa ambayo iko kwenye mpango wa kuwekwa lami hivi karibuni. Kutoka barabara ya makongo goba road ni 900mita
Ukubwa wa eneo wa eneo ni 2700sqm. Lina hati safi kabisaa
Bei ya ni Tsh 180M, mazungumzo yapo
Piga simu 0755654676