Eneo lenye ukubwa wa heka 3 linauzwa mahali lilipo ni msata bagamoyo barabara ya kutoka msata kuelekea bagamoyo mabus yanapo pita siku hizi yanayo elekea Arusha ,Moshi ,Tanga Lushoto Na Kenya eneo linagusa barabara kuu ya lami bei kwa kila heka moja ni mil 5 kwa heka zote tatu utalipa mil 15 tu karibu eneo Lina hati ya kimila karibu