TZS 130,000,000
/mo
Nungwi, Kaskazini A, Zanzibar North, Zanzibar, 2651, Tanzania

Eneo linauzwa  Nungwi main road lina ukubwa wa  30 meter kwa 50 meter bei 130ml tsh. Eneo lipo sheli ya kendwa ambapo pana airport mpya kwa ajil ya utalii zanzibar  Na mahotel makubwa nungwi. Hii sehem inaluhusiwa ujenzi wa aina yeyote. Show rooms. House villa. Hotel. Bungalow. Hospital. Office. Maduka . Kila kitu unacho kiitaji mana eneo lipo katika sehemu ilio na movement ya  biashara.

Overview

Sale Price TZS 130,000,000
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now