PAGALE LINAUZWA MBEZI BEACH MAKONDE
BEI Milioni 280 Tshs
Floor ya chini ina vyumba viwili vya kulala self contained, sebule, jiko na Dinning.
Floor ya juu(boma) ina vyumba saba vya kulala vyote self contained.
Dakika 7 kutoka main road (barabara ya lami)
Eneo Lina ukubwa wa :
1,344 SQM
INA HATI MILIKI
#0628421511