Hii ndio inauzwa na furniture zake,Nzuri Sana na ya kisasa.
Ina Vyumba vitatu kimoja Master,jiko,dinning,store,sebule kubwa na Public Toilets.
Hipo Kibamba.
Umbali kutoka Morogoro road ni Metre 600 tu.
Ukubwa wa eneo Square Metres 640.
Ina Clean Title Deed.
Bei 240M.
Maelewano.
Kwa video njoo inbox.