Ghorofa La Chuo/Shule/ Linauzwa
Mahali: Tegeta Dawasa
Bei: Milioni 900
☑️Ina Hati Kamili
☑️Eneo: Sqm 1600
☑️Vyumba 18 Vya Kulala, Vyote Ni Master
☑️Pia Apartments 6 Kwenye Compound Moja
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Tiles, Gypsum, Slid Windows
☑️Full Paving Blocks
☑️Reserve Tank
☑️Umeme Na Maji 24/7
Service Charge: 50,000(Payable Once)