GHOROFA INAUZWA KISARAWE KATA YA MSIMBU MKOANI PWANI
KWA TSHG MILLIONI 85,000,000/= 85M
UKUBWA WA ENEO SQM 4900
{ YAANI NI HEKALI MOJA KAMILI }
KUNA MAZAO TOFAUTI KWENYE ENEO NJOO UKAGUE TUMALIZE BIASHARA
CHINI KUNA NYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO STOO NA SITTING ROOM
JUU KUNA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM
UMEME UPO MAJI YAPO NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA.