Nyumba inauzwa
Location kigamboni ndege mwisho.kutoka barabara kuu ya lami mita200
Ukubwa wa kiwanja sq700
Nyumba inavitu ambavyo vinamaliziwa kwenye nyumba
Block Peving#,langi ,makabati yajikoni ,masingi ya vyooni ,Choo cha nje na Tank la Maji pia Lina wekwa liter4,000
Nyumba inavyumba vitatu .vyumba viwili master .Choo chapublic .inajiko na store
Nyumba inahati miliki
Unakabiziwa nyumba ikiwaimeisha kilakitu kama nilivyo orodhesha hapo juu
Inauzwa 160ml maongezia