NYUMBA NZURI YA GHOROFA INAUZWA SALASALA MTAA WA PILI KUTOKA KWENYE LAMI.
Nyumba ina vyumba 6 vyote ni self, sttingroom,Dainingroom, Kitchen&Public Toilet
Nk
Na pia kuna nyumba ndogo za wafanya kazi, wageni nk na zote zina vyumba 3 na jiko na vyoo nk
Size plot 4000 SQM
Hati ipo
Bei 550,000 $
Maongezi zaidi yapo