Nyumba ina uzwa
Dar es Salaam,
Tanzania
Location Goba center
Kutoka main road kilomita 1
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala vyumba vyote selfconteine
jiko sittingroom dinning room public toilet
Ukubwa wa kiwanja
Spmter 1400
For sale price 320,000,000 tshs
Negotiable
Contact call 0712531657#0789731695 whatsapp