Nyumba inauzwa milioni 55 ipo goba mpakani Nyumba inavyumba vitatu kimoja master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic pia ina frem tatu ambazo zinafanya kazi Nyumba ipo mtaa mzuri nyumba imekamata barabara kuu ya mtaa ukubwa wa eneo ni SQMT 500 document hati ya mauziano ya selikali ya mtaa eneo limelasimishwa na kupandwa mawe