TZS 170,000,000
/mo
4
4
400
Kigambon mjimwema

NYUMBA INAUZWA (BINAFSI) IPO KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMO . NI NYUMBA YA SITA TOKA BARABARA KUU YA LAMI YA FERI KIVUKONI

LOCATION : MJI MWEMA KIBUGUMO
AREA : SQM 400
PRICE : MIL 170 maongezi
UMILIKI : HATI YA SERIKALI ZA MITAA
_________________________NYUMBA NI YA KISASA KABISA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA NA VYOTE NI MASTER BEDROOM INA JIKO DINA NA SEETING ROOM KUBWA NA STOO KILA CHUMBA KINA AC NA MAJI YA MOTO. NYUMBA INA KISIMA CHA MAJI NA UMEME UNAWAKA KWA PICHA NA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE
HII SIO YA KUIKOSA,,,,,………!!!!!! KARIBU UKAGUE UTUPE OFFA YAKO…. .
.

HUDUMA ZOTE ZIPO… GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 50

Overview

Sale Price TZS 170,000,000
Size 400
Property Lot Size 400
Bedrooms 4
Bathrooms 4
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now