nyumba Ina uzwa ipo kunduch beach 🏖️
Ina yumba vitano vyote master
ina sebule 2 juu na chini dining kubwa
Jiko kubwa laki sasa
Vyumbani full makabat nyumba
Haijawahi kukaliwa labda mlinzi tu ndio amelala 😂 uwanja una sqm 1200
Bei yake USD dollar laki 470$ maongez kidogo
Nyumba ipo mtaa wa kishua sana
Call WhatsApp