*Nyumba mpya inauzwa UNUNIO*
*Distance* Mita 300 kutoka lami
-Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, vyumba 2 master bedroom, sitting room, dinning room, kitchen na public toilet.
-Plot size Sqm 2000
-Hati ipo (Title deed)
*Bei shilingi milioni 400 maongezi yapo*