Nyumba inauzwa ipo vikindu wilaya ya mkuranga mkoa WA pwani.
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala, master, dining room, sitting room, kitchen.
Nyumba umeme upo maji yapo.
Nyumba Ina Hati yake ya serekali ya mtaa ,Nyumba ipo vikindu mtaa WA kamegere Nyumba ya bei ml 57